Dkt Fenella Mukangara afungua Semina ya UVCCM Kinondoni na Kukabidhi Vifaa vya Michezo.

Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Mhe.Dkt Fenella Mukangara akivalishwa skafu na Mwanahamisi Haji(13) chipukizi wa Wilaya ya Kinondoni wakati alipo kuwa mgeni rasmi katika semina elekezi kwa watendaji wa UVCCM wilaya ya Kinondoni jana leo jijini Dar es Salaam
 Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo ambaye pia ni mjumbe wa NEC Dkt Fenella Mukangara akiongea na Viongozi wa UVCCM wakati akifungua semina elekezi kwa watendaji wa UVCCM wilaya ya Kinondoni jana jijini Dar es Salaam.

 Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo ambaye pia ni mjumbe wa NEC Dkt Fenella Mukangara akipokea Risala ya UVCCM iliyoandaliwa na Katibu wa UVCCM  wilaya ya Kinondoni Issack Kalleiya.
 Baadhi ya watendaji wa UVCCM wilaya ya Kinondoni wakisikilizi hotuba ya ufunguzi wa semina yao iliyotolewa na mjumbe wa NEC na Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo.Mhe.Dkt Fenella Mukangara 

 Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo ambaye pia ni mjumbe wa NEC Dkt Fenella Mukangara akibidhi vifaa vya michezo kwa Katibu wa UWT kata ya Ubungo Bi. Rose Ndunguru.Vifaa hivyo vimetokana na ombi maalum kwa ajili ya ligi ya mpira wa Pete inayojulikana kama Rose Wasiri Cup.Mashindano hayo yameanza leo jijini Dar es Salaam katika viwanja vilivyoko Ubungo Msewe jijini Dar es Salaam.Jumla ya mipira tisa na seti mbili za jezi  zimekabidhiwa.

Post a Comment

Previous Post Next Post