Mafundi wa TV itakayorusha matangazo live wakiweka sawa mitambo yao |
Kesho ndio siku yenyewe ambayo wasanii waliotajwa kuwania tuzo za mwaka huu za muziki wa Tanzania, Kilimanjaro Tanzania Music Awards, KTMA watajua hatma yao. Tuzo za Kili zitatolewa kesho June 8 kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Hizi ni picha za jinsi maandalizi ya jukwaa na ukumbi yalipofikia.
Sound check
Hivi ndivyo maandalizi yanavyoendelea
Muonekano wa nje ya ukumbi
Mafundi wakiziweka sawa cranes za camera
Post a Comment