Huu ndio uchafu unaofanywa mara nyingi katika party za kibao kata
Hisia0
Hatarieeeeeeeeeeeeee hapo binti anatolewa ..Kibao kata ni sherehe za wanawake tuu ambapo hufanyiwa binti anapotaka kuolewa ....Basi huko ukibahatika kuingia utaona uchafu wote wa mauno....mmhh Kazi kweli kweli ...Uswazi kuna mambozzzz
Post a Comment