HUYU NDIO KIBAKURI ALIYEIGIZA KATIKA KUNDI LA KAOLE? ..JUA KITU ANACHOFANYA SASA HAPA

kDSC00429Unamkubuka jamaa anaitwa Sadiki Mberwa maarufu kama Kibakuli, alikuwa staa kwenye maigizo ya Kaole kama mtoto mnoko wa Muhogo mchungu ambaye anajua kama baba yake ana nyumba nje lakini hamwambii mama yake mzazi. Mwisho wa siku na yeye anakuja kumtaka kimapenzi mama yake mdogo.

Kikubwa kilichokuwa kinamtamburisha Kibakuli ulikuwa ubonge wake, tofauti na sasa amekuwa mwembamba na amekuwa mtu mzima. Kibakuli alianza kuigiza kwenye miaka ya
1999 yupo darasa la sita wakati akiwa na Nyamayao ambaye alikuwa anaigiza kama dada yake. Hivi sasa Kibakuli ni soundman wa Landline Production na soon atarudi tena mbele ya camera.


Post a Comment

Previous Post Next Post