Rais Jakaya Kikwete akimwapisha, Mwantumu Mahiza kuwa Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania katika hafla iliyofanyika leo Ikulu, Dar es Salaam.
JK akimkabidhi Mahiza zana za kufanyia kazi
JK akisalimiana na Dk. Salim Ahmed Salim aliyehudhuria hafla hiyo
JK akipiga picha na Mahiza
JK akiwa na Mahiza, Dk. Salim Ahmed Salim pamoja Jaji Kiongozi, Fakih Jundu
JK akiwa katika picha ya pamoja na skauti wakiwemo wabunge
JK akipiga picha na familia ya Mwantumu Mahiza
JK akiwa katika picha ya pamoja na wabunge Skauti
JK akizungumza na baadhi ya wabunge skauti waliohudhuria sherehe za kuapishwa Mwantumu Mahiza
JK na Mahiza akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa UWT
JK akiwa katika picha ya pamoja na Maahiza pamoja na Skauti Mkuu aliyemaliza muda wake, Idd Kipingu
Rais Jakaya Kikwete (kulia) akizungumza na skauti wabunge baada ya kumuapisha Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza (kushoto) kuwa Kamishna Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania, Ikulu, Dar es Salaam
Mahiza akipongezwa na skauti wenzie
Kipingu akimvisha kofia Mahiza
Post a Comment