“KARATA TATU” NYIMBO AMBAYO SOLO THANG ANAKUJA NAYO HIVI KARIBUNI


1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars 


Mwanamuziki anaefanya muziki wa miondoko ya Hip-Hop ambae kwa sasa makazi yake yapo nje yaTanzaniaSolo Thang ambae kwa sasa anatamba na ngoma yake ya Uwezo Mia Mia ambayo amemshitikisha King zillah 
Sasa mpya kutoka kwa Solo ni kuwa kupitia moja ya kurasa yake ya mtandao wa kijamii, ametweet kuwa wiki ijayo anatarajia kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la “KARATA TATU”….Kisu=Pesa, Kopa=Mapenzi, Jembe=Mtafutaji na mwisho kabisaaaa ni MAVI … Yeah, that’s the description according to him …
Kama kawa, mdundo wa ngoma hiyo umefanywa ndani ya Studio ya Tongwe Records chini ya Producer Jay Ryder na kurekodiwa katika studio ya Roof Record iliyoko Ireland …

Post a Comment

Previous Post Next Post