Mwanamuziki wa Reggae nchini, Jhiko Manyika aka JhikoMan amefungua mtandao wake ujulikanao kwa anwani ya JhikoMan.com Unaweza kusikiliza nyimbo na kusoma
mambo mbalimbali ya Jhikoman and Afrikabisa Band.
Wadau msikose kumpa shavu mtoto wenu Jhikoman Manyika at JhikoMan.com
---
Imewasilishwa na mdau, Msema Kwel
Post a Comment