Kesi ya Lwakatare, Ludovick hadi kesho


 
Picture
(picha via GPL)
Kwa mujibu wa taarifa ya habari iliyosomwa TBC saa saba mchana wa leo, Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Lwakatare na mtuhumiwa mwenziye Ludovick Joseph, wamerudishwa rumande hadi siku ya kesho, Jumanne, Juni 11, 2013 ambapo kesi yao itatajwa tena kutokana na kile kilichoelezwa na hakimu anayeisikiliza kesi hiyo, Aloyce Katemana kuwa alikuwa likizo na hivyo kukosa muda wa kupitia mafaili.

Watuhumiwa wamerudishwa rumande ya Segerea, Dar es Salaam.

Post a Comment

Previous Post Next Post