Kutoka Baraza la Wawakilishi Kikao cha Bajeti kwa Mwaka 2013/2014


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haji Omar Kheri, akijibu maswali ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi alioulizwa katika kipindi cha maswali na majibu, kuhusiana na Ajira kwa Vijana wa Zanzibar, Kikao cha Baraza la Wawakilishi kikiwa katika Kikao chake cha kujadili Bajeti ya Serekali iliowasilishwa Wiki iliopita. na Waziri wa Fedha Mhe.Omar Yussuf Mzee.a   
Naibu Waziri a Biashara Viwanda na Masoko Thuwaiba Kisasi akijibu maswali yaliouzizwa katika kikao hicho kuhusu Wizara ya Biashara Zanzibar.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakifuatilia michango ilitolewa na Wajumbe katika kuchangia Bajeti ya Serekali  iliowasilishwawiki iliopita.
Wajumbe wakifuatilia mjadala wa kuchangia Bajeti ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar.
Mwakilishi wa Jimbo la Wawi Saleh Nassor Juma.akiuliza swali kuhusi ajira kwa Vijana wa Unguja na Pemba kuna uwiano gani hutumika katika ajira zao. 

Post a Comment

Previous Post Next Post