Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango (kulia) na Mbunge wa Igalula, Athumani Mfutakamba kwenye jengo la Utawala la Bunge Mjini Dodoma leo. (Picha na Ofisiya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mh. Mizengo Pinda na Waziri wa Fedha Mh. Dkt. William Mgimwa wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma leo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment