LADY JAYDEE ~ MAHAKAMANI, MIAKA 13 YA JIDE THEN MY BIRTHDAY

Check how busy is Lady JayDee (Team Anaconda) ndani ya mwezi hu.
      1: Tarehe 13 Jun ~ Natakiwa mahakamani
      2: Tarehe 14 Jun ~ Show ya Miaka 13 kwenye music industry
      3: Tarehe 15 Jun ~ Nasherekea siku yangu ya kuzaliwa
Hiyo ndio ratiba tight ya Lady JayDee siku chache zijazo..

Post a Comment

Previous Post Next Post