Mshindi
wa Redds Miss Kinondoni 2013, Lucy Tomeka akivalishwa taji lake na
mrembo aliyekuwa akilishikilia taji hilo Redds Miss Tanzania 2012/2013,
Bright Alfred. Lucy Tomeka aliweza kuchukua taji hilo kwa kuweza
kuwagalagaza wenzake wapatao 12 katika kinyang'anyiro hicho kilifanyika
jana ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip jijini Dar.
Akivalishwa utambulisho wake.
Showlove...
Warembo
waliofanikiwa kuingia katika tano bora wakifurahia kwa pamoja, katikati
ni Redds Miss Kinondoni 2013 Lucy Tomeka, (shoto kwake) ni Prisca
Clement, (kulia kwake) ni Phillios Lemi. Wengone ni Sarah Paul (kwanza
kulia) na Linda Joseph (kwanza kushoto).
Tatu bora ni katikati ni Redds Miss Kinondoni 2013 Lucy Tomeka, (shoto
kwake) ni Prisca Clement, (kulia kwake) ni Phillios Lemi.
Post a Comment