Na:- Mahmud Zubeiry
Washiriki wa Miss Tanga wakiwa katika chakula cha usiku katika ukumbi wa Pub Hai, maeneo ya Saba saba Tanga usiku walipoalikwa na uongozi wa Pub hiyo. Shindano la Miss Tanga linatarajiwa kufanyika Jumamosi wiki hii kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.
|
Chakula kitamu |
Sala kwanza; Mrembo akisali kabla ya kuanza kula |
Kupakuliwa tani yako |
Yaani ile ushindwe mwenyewe |
Mapochopocho |
Waandaaji na bosi wa Pub Pub wakiteta |
Mkurugenzi wa DATK Entertainment, waandaaji wa Miss Tanga 2013, Asha Kigundula akigonga cheers na mumewe |
Warembo Cheers |
Jamani totozx za Miss Tanga si mnaoooonaaaaa |
Mrembo akimiminiwa mvinyo na bosi wa Pub Hai |
Post a Comment