
Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakikimbia kuelekea katikati kuanzisha mchezo dhidi ya Morocco baada ya kupata bao katika mechi ya Kundi C kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia mwakani nchini Brazil usiku huu kwenye Uwanja wa Marakech mjini Marakech, Morocco, Wenyeji, Simba wa Atlasi walishinda 2-1.

Mfungaji wa bao la Stars, Amri Kiemba kushoto akimhamasisha Khamis Mcha 'Vialli' kuepeleka mpira baada ya bao wanze haraka kusaka mabao zaidi

Mbwana Samatta akiwatoka mabeki wa Morocco

Samatta huyooo

Samattaaaa

Thomas Ulimwengu akifumua shuti

Thomas Ulimwengu akimtoka beki wa Morocco

Samatta akiwatoka mabeki wa Morocco

Samatta alifanya kazi...basi tu haikuwa bahati yake

Samatta alikuwa tishio

Kikosi cha Morocco kilichoifunga Stars 2-1

Watanzania waliokuja kuiunga mkono timu hapa

Mfungaji wa bao la Stars, Amri Kiemba akiwatoka wachezaji wa Morocco
Kikosi cha Stars leo

Salum Abubakar 'Sure Boy' akimiliki mpira pembeni ya kiungo wa Morocco

Kevin Yondan akimdhibiti mshambuliaji wa Morocco

Shomary Kapombe akimfukuza winga wa Morocco

Mbwana Samatta alikuwa anakaba pia

Zacharia Hans Poppe kulia

Aggrey Morris alitolewa kwa kadi nyekundu kwa rafu iliyosababisha penalti na bao la kwanza la Morocco

Erasto Nyoni akipambana

Mashabiki wa Tanzania
Post a Comment