Mshindi wa taji la Redd's Miss Morogoro 2013 ,mrembo , Diana Laizer
(21) akiwapungia
mkono wananchi waliofika ukumbini kushuhudia kinyang’anyiro cha kuwania
taji hilo ( kulia ) ni mshindi wa pili , Sabra Islam (18) wakati ( kulia)
ni mshindi wa tatu, Muzne Abduly ( 19) ni mara baada ya majaji kuwatangaza
kushinda nafasi hizo, shindano hilo lilifanyika usiku wa jana ( Juni 15)
katika Ukumbi wa Hoteli ya Nashera ya Mjini Morogoro.
( Picha hii mali ya John Nditi wa habarileo
|
Post a Comment