Kesho, your favourite cousin, BINAMU a.k.a MwanaFA kuanzia mida ya mchana atakuwepo Choice FM radio katika kuzihesabu 20 zake kali …
Kama redio hiyo inavyofanya mara kwa mara … Celebrities mbalimbali kutoka hapa Tanzania huwepo hapo kila jumamosi kwa masaa kadhaa na kusababisha countdown ya ngoma 20 kali wnazozikubali … Tulishasikia 20 za Fid Q, Flaviana Matata, Izzo Bizness, AY na wengineo … Ni time ya Hamis sasa …
Stay Tuned kwa Mwanafalsafa kuanzia kesho mchana
Chanzo:- gongamx
Post a Comment