Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe akipata chakula cha mchana kwa kutafuna samaki wadogo waitwao 'Njuju', kando ya kivuko cha Mto Kilombero, walipokuwa njiani kutoka kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani Kijiji cha Kivukoni, Kata ya Minepa


Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe, akiwa na baadhi ya viongozi, wanachama na wapenzi wa chama hicho wakipata chakula cha mchana kwa kutafuna samaki wadogo waitwao 'Njuju', kando ya kivuko cha Mto Kilombero, walipokuwa njiani kutoka kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani Kijiji cha Kivukoni, Kata ya Minepa, wakisubiri kuvuka kwenda mkutano mwingine wa kampeni Kata ya Ifakara, mkoani Morogoro. Kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum, Suzan Kiwanga.

Post a Comment

Previous Post Next Post