NELSON MANDELA BADO YUPO HOSPITALINI KWA MATIBABU


Rais wa kwanza mweusi Afrika Kusini Mzee Nelson Madiba Mandela ameendelea kusalia Hospitalini kwa siku ya pili tangu alipolazwa hapo jana kutokana na matatizo ya mapafu yaliyoathiri mfumo wake wa upumuaji.

Post a Comment

Previous Post Next Post