New Track :- Solo Thang – Karata Tatu



Kipindi kifupi nyuma kidogo tuliwataarifu kuwa rapper Solo Thang kupitia mtandao wa kijamii alitangaza kuwa hivi karibuni ataachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Karata Tatu ...
Hatimaye ngoma hiyo imetoka rasmi siku ya leo. Chukua muda wako na kuweza kuisikiliza “KARATA TATU” kwa mara ya kwanza

Post a Comment

Previous Post Next Post