Wasanii wengi wa Tanzania wamefariki dunia katika kipindi kifupi. Leo nimesikia kuwa msanaai Kashi ametuaga. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema mbinguni. Amen.
Habari zilizotufikia ni kuwa muigizaji wa filamu Jaji Hamisi maarufu kama Kashi amefariki dunia leo hii katika hospitali ya Muhimbili. bado hatujajua chanzo cha kifo chake lakini tutawaletea updates. Kashi alikuwa muigizaji mwenye kipaji cha hali ya juu katika filamu, pia aliwika na kundi la Shirikisho msanii Afrika lililokuwa linaonyesha michezo yake ITV. Rest in peace Kashi
Post a Comment