NEWZZ! MH SUGU AKAMATWA KWA KUMTUSI WAZIRI MKUU


Habari zilizotufikia hivi punde zinadai kuwa Mbunge wa Mbeya mjini Mh Joseph Mbilinyi amekamatwa kwa kile kinachodaiwa ni uchochezi na kumkashifu Waziri Mkuu Mzengo Pinda.

 Hivi  karibuni, Mh. Sugu  alidai  kuwa  Tanzania  haijawahi  kuwa  na  waziri  mkuu  mpumbavu  kama  Mizengo  pinda.

Tunaendelea  kufuatilia  undani  wa  habari  hii: 

Post yake facebook:


Post a Comment

Previous Post Next Post