Mbunge wa mbeya mjini mh. Joseph “Sugu” Mbilinyi (CHADEMA) amemchana waziri mkuu wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda na kumuita “mpumbavu.”
Kauli ya Sugu imefuatia kauli ya waziri mkuu Mizengo Pinda kuwaruhusu rasmi polisi kutumia nguvu ya ziada kuwadhibiti na kuwapa kichapo wafanya fujo. Screeshot ya alichosema Sugu kuhusu hilo hapa chini:katika ukurasa wake wa Facebook, Sugu ameandika “…Tanzania haijawahi kuwa na waziri mkuu mpumbavu kama mizengo pinda…alichokifanya ni kutangaza rasmi vita kati ya serikali ya ccm na raia wa tanzania…!!
Post a Comment