Kwamba, "Precision flight from Bujumbura to Mwanza with an estimate of 50ppl has crashed in lake Victoria when trying to land in Mwanza airport" ni katika mazoezi ya kushitukiza ya kujiandaa na majanga endapo kweli ingetokea ajali ya ndege.
Hivyo, taarifa hizi zipewe uzito wa zoezi na SIYO kweli kwamba kuna ndege imeanguka.
Taarifa hii imewekwa hapa ili kuwatoa hofu na kuwatuliza mawazo mliokuwa mnanautafuta ukweli wa taarifa hii inayosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii. Isotoshe, hadi sasa Shirika la ndege la Precision Air halina safari za ndege za njia (route) iliyotajwa hapo juu kwenye maelezo (scenario)
Post a Comment