TANGAZO KWA WASOMAJI WA MTANDAO WA FULL SHANGWE BLOG JUU YA KUTOKUPATIKANA HEWANI


WADAU WA MTANDAO WETU WA FULLSHANGWE TUNAWAOMBA RADHI KWA USUMBUFU ULIOJITOKEZA KUANZIA LEO KUTOKANA NA MTANDAO WETU KUTOKUWA HEWANI KUTOKANA NA SABABU ZILIZO NJE YA UWEZO WETU HATA HIVYO WATAAAMU WETU WANAFANYA KILA LIWEZEKANALO ILI TUWEZE KUREJEA WAKATI WOWOTE 
TUNATUMIA NAFASI HII PIA KUWAOMBA RADHI WADHAMINI WETU NMB, NBC SBL, NHIF NA WILNA INTERNATIONAL TUNAOMBA MTUVUMILIE WAKATI TUNASHUGHULIKIA TATIZO HILO.

Post a Comment

Previous Post Next Post