Askari akiwa amebebwa baada ya kujeruhiwa wakati wa ziara ya Mchezaji Maarufu Duniani David Beckham huko nchini China katika chuo Tongji University kilichopo Shngahi.
|
Chini ni mmoja wa Majeruhi 7 waliojeruhiwa wakati wa ziara ya Mchezaji Maarufu Duniani David Beckham huko nchini China katika chuo Tongji University kilichopo Shngahi. |
Ziara ya Mchezaji Maarufu Duniani David Beckham huko nchini China katika chuo Tongji University kilichopo Shngahi imeleta maafa baada wanafunzi watano na polisi wawili kujeruhiwa kutoka wingi wa watu waliokuwa wakitaka japo kumuona staa huyo wa soka duniani.
Mchezaji huyo wa zamani wa Klabu ya Manchester United ya nchini Uingereza na Real Madrid ya Hispania ,alikuwa akutane na wanafunzi wa chuo hicho ambao ni wanasoka ikiwa ni moja ya kazi zake atakazofanya China katika dili lake la kuipromoti ligi kuu ya nchi hiyo.
Post a Comment