Ghaife (kulia) pamoja na mumewe Issu(wapili toka kulia) katika picha
ya pamoja na wageni wao Watanzania wanaoishi Massachuesetts na vitongoji
walipowakaribisha kwenye futari ya pamoja ndugu, jamaa na marafiki
Jumamosi July 13, 2013 nyumbani kwao Springfield, Massachusetts.
Juu na chini ni Ndugu, jamaa na marafiki waliofika nyumbani kwa
Ghaife na mumewe Issu kwenye futari ya pamoja iliyoandaliwa maalum kwa
ajili ya Watanzania na marafiki zao waishio Massachusetts na vitongoji
vyake.
Ghaife (wapili toka kushoto) katika picha ya pamoja na ndugu, jamaa na marafiki.
Juu na chini ni Issu (kanzu ya blue) katika picha ya pamoja na ndugu, jamaa na marafiki.
Ghaife na mumewe Issu katika ukodak moment
Post a Comment