Kampuni ya Google haijatoa tamko
lolote kujitetea dhidi ya tuhuma kuwa huwa ina mapendeleo zaidi wakati
inapotoa matokeo ya tafutafuta kwenye mtandao wake, kulingana na afisaa
mmoja kutoka Ulaya. Google imetoa mapendekezo kadhaa kufuatia wasiwasi
kutoka kwa mkuu wa ushindani ulaya kwamba anataka Google kujizuia na
hilo.
Google imejipata pabaya baada ya kupandisha
hadhi ya programu yake ya ramani. Licha ya kuongeza programu kadhaa ,
inaonekana kufuta kisiwa cha Scotland cha Jura kutoka kwenye ramani yake
na kuwacha barabara katikati ya bahari.http://www.bbc.co.uk/swahili/medianuai/2013/07/130719_click_teknolojia.shtml
Post a Comment