Hadithi ya leo
Mtume
Muhammad Swalla Allaahu ‘Alayhi wasallam amesema:
للصائم
فرحتان فرحة عند فطره، وفرحة عند لقاء ربه " رواه البخاري
Mwenye
kufunga huwa na furaha mbili. Furaha ya kwanza wakati anapofuturu na furaha ya
pili wakati atakapokutana na Mola wake
Imepokewa
na Bukhaari
Furaha
hizi zote zina umuhimu wake kwa mja. Anapofutari hufurahi kwa kumaliza
kutekeleza agizo la Mola wake alilomtaka afunge. Atakapokutana na Mola wake
atakuwa na furaha kwa sababu Allaah Subhaanahu Wata’ala amumuhakikishia kwamba
ni Subhaana mwenyewe ndiye aliyebeba
jukuma la kumlipa funga yake.
Ewe
Mola tujaalie kuwa miongoni mwa watakaokuwa na furaha hizi huku tukitaka radhi
zako.
Aamiyn
Post a Comment