HALIMA MDEE NA JACQUELINE WOLPER HAKUNA MBABE

 Mbunge wa Kawe Halima Mdee (kushoto) akichana na Msanii wa Bongo Movie, Jacqueline Wolper, wakati wa Tamasha maalum la Usiku wa Matumaini, lililofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katika pambano hilo Mabondia hao walitooka sare kwa pointi.
 Bondia Halima Mdee akiingia kwa mbwembwe.
Wolper akipanda jukwanii kwa mbwembwe

Post a Comment

Previous Post Next Post