Sunday, July 14

HATIMAYE PESA ZA RESEARCH KWA WANAFUNZI WA MWAKA WA 3 CHUO KIKUU TEOFILO KISANJI (TEKU) KULIPWA PESA ZAO KUANZIA KESHO.

Hisia     Sunday, July 14, 2013    


 
  Vice Chancellor wa TEKU Prof. Dr. Tuli Kassimoto
 Huu ni uthbitisho wa kupokea Fedha hizo leo na sio kama walivyo kuwa wakidai wanafunzi kuwa Chuo kilitunza Fedha zao katika (Fixed deposit)
Huu ni uthibitisho kutoka Bodi ya Mikopo wakati walipo anza kufanya malipo kwa ajili ya wanafunzi .

IMETOLEWA NA 
UTAWALA 
CHUO KIKUU CHA TEOFILO KISANJI

0 comments :

© 2011-2014 Hisia za Mwananchi. Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.