Kinachoonekana ni kwamba, BBA ni sawa na shindano la laana ambamo
asilimia kubwa ya washiriki wake ni wacheza filamu chafu au watu wenye
skendo mbaya....
JUZI tuliandika juu ya kuvuja kwa video chafu ya mshiriki wa shindano la Big Brother Africa ambaye ni raia wa Zimbabwe......
Mshiriki huyo ni mwanadada maarufu kwa jina la Pokello. Katika video
hiyo chafu, Pokello na njemba iliyojulikana kwa jina la "Desmond Chideme
" maarufu kama Stunner wanaonekana wakifanya ngono bila kutumia kinga.
Skendo hiyo imewakera sana watu wa Zimbabwe kiasi kwamba wamelazimika
kutengeneza ukurasa wao maalumu wa facebook unaohamasisha kura za
kumng'oa mrembo huyo pindi atakapowekwa kikaangoni....
Video
hiyo ambayo ilirekodiwa kwa kutumia simu ya iphone na kubadilishwa
kwenda kwenye fomati ya avi ilivuja baada ya boyfriend wa pokello kuitoa
video hiyo na kumpa rafiki yake wa karibu huku akijisifu.
mwandishi wa mtandao huu amefanikiwa kuinasa video live baada ya mtandao wa youtube kuiondoa
Post a Comment