Basi
la klabu ya Simba lilokuwa limeibeba timu ya vijana ya Simba iliyokuwa
ikitokea Arusha kushiriki michuano ya Rollingstone leo mchana lilikwamba
maeneo ya Korogwe Tanga baada ya kuharibika. Kwa mujibu wa mmoja wa
vingozi wa Simba aliyepo kwenye msafara huo Patrick Rweyemamu
liliwaharibikia njiani na hivyo ikabidi wasimame maeneo ya Korogwe
kuweza kulifanyia matengenezo
|
Post a Comment