HIVI NDIVYO RAIS OBAMA ALIVYOPANDA MTI IKULU JIJINI DAR



Rais Obama akipanda mti aina ya mpingo katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam jana.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa maelezo ya mti wa mpingo anaotaka kuupanda katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam jana.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza mgeni wake baada ya kumpatia mapokezi ya kihistoria jana Ikulu

Post a Comment

Previous Post Next Post