Mwanasiasa
mmoja wa Sweden anayeonekana kuwa member mzuri wa mtandao unaozidi
kupata umaarufu bongo wa Instagram, katika hali ya ushabiki na kutaka
kushare picha ya tattoo yake ya Liverpool FC iliyochorwa katika mguu
wake wa kushoto , kwa bahati mbaya alijikuta akionesha mpaka sehemu za
‘ikulu ya mwili’.
Katika hali ya utani Waziri wa mambo ya nje wa Sweeden kutoka kwa chama pinzani Carl Bildt, alimwambia bwana Ohly “Congratulations – finally, after all these years you have made a genuine public breakthrough.”
SOURCE: DAILY MAIL
Post a Comment