![]() |
| Paula |
Leo
ni siku ya kuzaliwa ya mtoto wa kwanza wa producer Paul Matthysse aka
P-Funk Majani aliyezaa na aliyekuwa mchumba wake Kajala Masanja.
Wazazi hao wamemtembelea mtoto wao shuleni na kupiga naye picha.

Kupitia Instagram, Kajala ameshare picha kadhaa zinamuonesha akiwa na Majani, binti yao Paula na Wema Sepetu.

Kajala amemwandikia ujumbe mtamu binti yake akisema: HAPPY BIRTHDAY
my darling, my heartbeat, da reasonto whythez always a smile abt…ur my
right hand, my sweetheart, my number one, my beautiful daughter…..mummy
loves u sooo much sweet angel….and I pray to god to keep u for a long
long tym… u will live to blow a hundred candles my precious….

Wema na Paula

P-Funk akilishwa keki na mwanae, Paula

Post a Comment