Mdau
Luqman Ramadhan Dau akiwa katika joho mara baada ya Kulamba Nondozz yake
ya BSc (Hons) Molecular Biology University of Sheffield Jumatano Julai
17,huko nchini Uingereza.
Mdau Luqman Dau akiwa na Wazazi wake,Ndg. Ramadhan Dau na Mama Zeinab Dau wakati wa wakati wa Sherehe ya kulamba nondooozzzzz yake ya BSc (Hons) Molecular Biology University of Sheffield Jumatano Julai 17.
Luqman
akiwa na "Meya wa London" Haruna Mbeyu na Uwesu Katundu ambaye nae
alilamba nondozz zake De Mont fort University ya Leicester Jumamosi
iliyopita.
Luqman
akiwa na wadau mbalimbali akiwemo Uwesu Katundu, "Meya wa London"
Haruna Mbeyu, Katibu wa Diaspora UK Mariam Mungula, Abdul Dau, mke wa Dr
Dau Zeinab na mama mzazi wa Dr Dau.
Luqman akiwa na wadau mbalimbali
Post a Comment