Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na baadhi ya wananchi wa Lindi aliowaalika kwenye futari mara baada ya kuwafuturisha nyumbani kwake hapo Lindi Mjini tarehe 27.7.2013
Baadhi ya wananchi wa Lindi Mjini walioalikwa kufuturu nyumbani kwa Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakisikiliza mawaidha yaliyokuwa yakitolewa baada kufuturu.
Mke wa Rais Mama Salma Kkwete akisalimiana na baadhi ya akinamama aliofuturu nao nyumbani kwake huko Lindi Mjini
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiaagana na Shehe Mkuu wa Mkuu wa Mkoa
wa Lindi Al Haj Mohamed Said Mshangani baada ya kufuturu nyumbani kwa
Mama Salma huko Lindi Mjini
PICHA NA JOHN LUKUVI..
PICHA NA JOHN LUKUVI..
Post a Comment