Sehemu
ya umati wa wananchi wa Shinyanga wakimsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA
Taifa, Freeman Mbowe (hayupo pichani) akihutubia mkutano wa hadhara
uliotanyika Uwanja wa Mahakama ya Mwanzo, Nguzo nane, Shinyanga mjini,
juzi, ikiwa ni sehemu ya shughuli za kukamilisha uzinduzi wa Kanda ya
Ziwa Mashariki (Shinyanga, Mara na Simiyu)
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akionesha
kitabu cha CCM kiliachoandikwa 'Sera za Msingi za CCM', ambapo kwenye
ukurasa wa kifungu cha 9.1 kimezungumzia majukumu ya Jumuiya za chama
hicho, ikiwemo kutoa mafunzo ya ulinzi, usalama na ukakamavu kwa vijana
wake kupitia Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM).
Post a Comment