New Track:- Mkoloni ft Juma Nature & Mapacha – Bila Sababu.
Hisia0
“BILA SABABU” ni ngoma mpya kutoka kwa Mkoloni ambapo pia amemshirikisha msanii kutoka Tmk Wanaume Halisi akijulikana kama Juma Nature pamoja na Kundi la Mapacha kutoka Mwenge …
Kuwa wa kwanza kuisikiliza ngoma hii hapa chini
Post a Comment