Juzi, Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam
ilitangaza kumshikilia mtu mmoja kwa tuhuma za kumiliki kiwanda cha
kutengeneza silaha nyumbani kwake kinyume na sheria.
Kaimu Kamanda wa Polisi wa kanda hiyo, Ally
Mlege alisema taarifa za uwapo wa kiwanda hicho walizipata baada ya
kukamtwa kwa watuhumiwa wanne wa ujambazi.Kwa Habari zaidi Bofya na Endelea.......>>>>>
Post a Comment