
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza katika majumuisho ya ziara
yake katika mkoa wa Njombe. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapteni
Msangi na wa wapii kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo Deo Sanga.

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiagana na Mkuu wa wilaya ya Njombe Sarah Dumba baada ya kumaliza ziara ya kikazi mkoani humo.
Chanzo - MOBLOG
Post a Comment