Ujumbe
wa Bandari ya Singapore “Port Authority of Singapore(PSA)” unatembelea
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), pichani ni wakuu wa idara mbalimbali
za TPA na viongozi wa PSA wakiwa katika ziara ya Bandari ya Dar Es
Salaam. Haya ni matunda ya ziara ya Mhe. Rais Kikwete aliyoifanya nchini
Singapore mapema mwaka huu. TPA iko mbioni kuboresha huduma zake kwa
kutumia Teknolojia ya kisasa ya TEHAMA (ICT) katika shughuli zote za
kibandari, TPA itashirikiana na PSA katika eneo hili pamoja na mafunzo
ya marubani, wahandisi na shughuli za utekelezaji(operations)
Post a Comment