Hii
ni video inayomuonesha rapper Mabeste akiwa na mchumba wake Lisa
wakiongea kwa mara ya kwanza baada ya kupata mtoto wao wa kwanza jana,
Kendrick. Kwenye video hii, Mabeste anasema wamempa jina hilo mtoto wao
kwakuwa mama yake (Mabeste) anampenda sana rapper wa Marekani, Kendrick
Lamar
Post a Comment