
Staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma amesema hana haraka
ya kuolewa kwani anahitaji mume na si mwanaume
wa kupita.
Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Wastara alisema
kwa sasa yupo huru kutoka na mtu yeyote ampendaye kutokana na sheria na dini
inavyosema ila kwa sasa shughuli za kuigiza zimembana.
‘Nahitaji mume na si mwanaume wa kupita,
awe mvumilivu, mchapakazi pia awe na hofu ya Mungu. Kwa sasa nafanya
filamu zangu kama kumuenzi marehemu mume wangu,” alisema Wastara.
Post a Comment