WEMA SEPETU TENA ASHAMBULIWA NA MASHABIKI WAKE BAADA YA KUTUPIA PICHA ZENYE UTATA INSTAGRAM.


 
Ama kweli ustaa kazi! Mrembo Wema Sepetu kakumbwa na kasheshe kutoka kwa mashabiki wake baada ya kutupia picha instagram akiwa kapozi na wengine kuanza kumlamu kutokana na mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Japo alijitetea na kusema picha hizi alipiga kabla ya mwezi huu wengine hata hawakumuelewa! 


 
 

 
 
Kweli umaarufu kazi na unahitaji uvumilivu wa hali ya juu.

Post a Comment

Previous Post Next Post