AFYA:- FAIDA YA ALOE VERA~

~~~FAIDA YA ALOE VERA~~~
A/alleykum,
Aloe vera ni moja kati ya mimea ya dawa iliyojulikana tangu kitambo sana. Una zaidi ya miaka 2000 katika historia ya sayansi.
 
Una umbo kama cactus, lakini ni jamii ya mimea ya lily. Kuna zaidi ya aina 200 za mimea ya aloe vera (shubiri). Una zaidi ya virutubisho 75 ikiwa ni pamoja na madini 20, amino acid 18 na vitamini 12.
 
Aloe vera(shubiri) ina faida kuu tano kwa mwili wa binadamu.
 
Kupenya mwilini- aloe vera  hufikia tishu za ndani kabisa tabaka saba  kwenda ndani.
 ■ Huua vimelea vya magonjwa- ina vichocheo sita vinavyoua vimelea vya magonjwa kama bacteria, virus na fangas
 ■Uzalishaji wa chembechembe hai za mwili-huchochea utengenezwaji wa chembechembe mpya na tishu mpya zenye afya.
 ■Hufanya mfumo wa fahamu kufanya kazi vizuri – hutuliza matatizo yanayo athiri mfumo wa fahamu.
 ■Husafisha-kuondoa sumu mwilini na kufanya utendaji kazi wa mwili urudi katika hali ya kawaida.
 ■Aloe vera ni kinywaji cha asili ambacho huboresha na kuondoa maradhi mengi katika miili yetu.
 
Aloe vera inaweza kusaidia katika:
 ■Vidonda vinavyotokana na kuungua, kujikata, michubuko, vidonda vya tumbo , kuumwa na wadudu wakali na wanyama.
 ■Matatizo ya kutopata haja hasa maumivu wakati wa kupata haja kubwa.
 ■Matatizo ya ngozi kama psoriasis,pumu ya ngozi(eczema),chunusi(acne) na dermatitis
 ■Matatizo mengine kama shida ya mmeng’enyo wa chakula, kinga ya mwili, ugonjwa  wakoo, pumu na uchovu wa mwili usioeleweka,maumivu sehemu mbalimbali za mwili, matatizo ya usingizi .
 ■Aloe vera hubadilisha mfumo wa mwili wako uendane na mahitaji ya mwili hivyo huondoa vitu  visivyohitajika katika mwili na kuondoa matatizo ya kuharisha na kutopata haja  kubwa kirahisi.
 ■Aloe vera ni salama, haina sumu kwa binadamu na haina madhara.
 
Kimsingi ni kama juice. Hata ukizidisha kipimo haileti madhara. Inaweza kutumika ndani ya mwili kwa kunywewa  au nje ya mwili kwa kupakwa.
 ■Hupunguza maumivu
 ■Hupunguza uvimbe
 ■Huondoa muwasho
 ■Huondoa fangasi
 ■Huu bacteria kama ikichanganywa na kinywaji kingine.FAIDA YA ALOE VERA~~~

■Huu bacteria kama ikichanganywa na kinywaji kingine.

Post a Comment

Previous Post Next Post