Marehemu Erasto Msuya, alikuwa ni mfanya
biashara mkubwa sana wa Madini ya Tanzanite ambayo alikuwa pia
anamiliki mashimo mengi ya migodi. Pia alikuwa mmiliki wa SG Resort,
alikuwa akitokea Mererani na kuelekea Moshi, aliposhambuliwa na watu
wawili waliokuwa kwenye Piki piki na kutoweka na Briefcase yake
aliyokuwa nayo ndani ya Range Rover yake mpya ya Mwaka 2013.
- Kuna habari za Marehemu kuwa na Bifu
kubwa sana na mfanyabiashara mwenzake kwa jina la Mtinange. ambaye
waligombana sana mpaka inaaminika kupelekea Marehemu kumfanyia mwenzake
njama za kumfunga jela. Na marehemu anahusishwa na Kifo cha
Mfanyabishara mmoja wa Madini kwa jina la Chusa, kilichotokea majuzi
huko huko Mgodini Mererani.
- Pia inasemekana Marehemu alikuwa ni bingwa sana kumendea wake za wengine kwa kutumia utajiri wake wa ajabu kuwanasa kimapenzi.
Source: Ngongo JF Web
Post a Comment