
Na Joseph Msami wa radio ya Umoja wa Mataifa
Huyu jamaa ni
ombaomba maarufu mjini New York42. Mzee huyu ambaye imekuwa tabu kupata
jina lake anatumia staili ya kuomba kwa kutingisha kopo kwa muda mrefu
huku akiwa ameangalia chini muda wote.
Stail yake
inafanana na ile ya ombaomba maarufu Tanzania marehemu Matonya ambaye
enzi za uhai wake alikuwa akilala chini na kuinua mkono juu kwa muda
mrefu bila kuchoka!

Post a Comment