Kwa hili la Mh Pinda, LHRC mmechemsha, mmekurupuka!

Kwa hili la Mh Pinda, LHRC mmechemsha, mmekurupuka!

Nimesikia kuwa LHRC na baadhi ya wanasheria wamefungua kesi dhidi ya Mh Waziri mkuu kwa kauli aliyoitoa bungeni ya kuruhusu polisi kupiga wakaidi wa sheria za nchi.

Kiukweli LHRC nilikuwa na imani nao sana lkn kwa hili niseme tu kwamba mnajidhalilisha wenyewe na taaluma zenu kama wanasheria.

Binafsi, sioni kama kuna kosa la kisheria alilofanya mh Pinda.

Polisi wameruhusiwa, kwa mujibu wa sheria, kutumia nguvu dhidi ya wahalifu provided nguvu inayotumika ni proportional to nguvu ya mhalifu ikiwa ni pamoja na kupiga.


LHRC kwa hili mmekurupuka na mnajidhalilisha kama wanasheria. Chanzo:-

jamiiforums.com

Post a Comment

Previous Post Next Post