NEWS; KESI YA WANACHAMA WA CHADEMA YAFUTWA WATUHUMIWA WAACHIWA HURU
Hisia0
watuhumiwa wa Kesi ya ugaidi iliyokuwa inwakabili wanachama wa
Chadema akiwemo Henry kilewo wameachiliwa Huru Baada ya Kesi Yao kufutwa
na jaji katika mahakama kuu Huko Tabora
Post a Comment